Maua Sama, ipo siku wapenda RnB watakuelewa tu

Maua Sama, ipo siku wapenda RnB watakuelewa tu

big result now

Senior Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
107
Reaction score
70
Toka siku ya kwanza nausikia wimbo wako wa Crazy,nilijua ipo siku wapenda burudani watakuelewa,hiyo ilikuwa 2012 nikiwa moshi na ulifanya wimbo huu na noda,then later on u featured Mwana Fa on the same song,that was the very huge step in your career,baada ya hapo ulitoa sijiwezi pamoja na let them know,binafsi nazipenda japo nakir hazikupata air time ya kutosha,ila upo vizur na una kipaji kikubwa sana Maua.


Yesterday i saw your new song named THIS LOVE,this time around u featured Ben paul,ni wimbo mzur sana na nimeupenda mno,kama una management wafanye kitu juu ya promo,wewe ni zaid ya hao tunaoaminishwa ni bora kwa nguvu ya promo,simpigii promo maua ila kama mtu haujausikia huu wimbo ingia youtube search this love by maua ft ben paul afu urudi uje uniambie kuhusu ubora wa huu wimbo.


I see good omen,keep doing what you do best
 
Sure man this girl ana kitu kikubwa sema ndiyo hivyo unaweza kujua na bado jamii isikuelewe kama lipumba
 
Elmagnifico nausikiliza huu wimbo alioimba na ben paul kila saa,una kila hadhi ya kuwa hit song,my biggest fear is the song may end up being good for nothing
 
Duh huu mpya sijausikia ila uyu binti ni talented haswaaa sielewi kwa nini menijimenti yake inalala(yuko chini ya Mwana Fa)acha niusake huu mpya nimsikie.
 
wadau pia mwamuonaje grace matata
 
Hakuna shida kuongelea mwimbaji kama umeupenda mwimbo kitu hiki kinafanyika hatavubapoongea na nduguzo na friends.

Ila ungerusha link basi maana kale kauvivu ka kusechi na mie kameniingia sasa.

Umechemka uliposema hautoi promo kwani nani amekuuliza? Ungemezea tu

Link ingevuta wengi kutazama
 
Back
Top Bottom