Fid Q feat Ben Pol - Bendera ya Chuma

Fid Q feat Ben Pol - Bendera ya Chuma

Sniper

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Posts
2,008
Reaction score
949
Msanii na mwalimu wa muziki wa Hip Hop wa kipindi cha Ujamaa Hip Hop Darasa, Fid Q ameachia audio ya wimbo wake ‘Bendera ya chuma’ aliomshirikisha Ben Pol ikiwa ni wiki sasa tangu asikike katika collabo na Stamina.
Usikilize hapa…
 
wa mwaka gani huu wimbo??
 
hapa fid karudi hatua 9 nyuma dah very disappointed
 
Huu wimbo Fid q kazingua na sababu kubwa ni kwamba production ya wimbo kaifanya Nisher huyu mtengeneza video.
Beat sijaielewa kabisa nadhan watakuwa marafiki badala ya kufanya kazi wanafanya ushikaji katika kazi otherwise asingekubari kuachia ngoma mbovu kama hii.
 
Kwangu mm,nymbo n kali sana na mashair mazur yanaeleweka co kila ktu mnavyovipenda nyny n wengne watapenda ,n sio ksa nymbo w hujaipenda basi n mbaya,
 
midundo imefanana na wimbo wa we don't clap back-Ja rule
 
Ngoma Kali sn huyu jamaa ndo mfalme wa hip-hop bongo.....asiyekubali bhaaaasi
 
mashahiri ni makali mno kama kawaida ya Fareed ni mwandishi mzuri siku zote...tatizo la wimbo huu ni beat yaani ni beat mbovu mpaka naona aibu kuielezea
 
wewe huo ni uchovv wa kufkr. hakuna nymbo kama bendera ya chuma kwa fid q na ile beat n moja ya beat ambazo hazj tokea tena kwa farid. bt ny mzk mmeujua mwaka 2006 nn?
 
Back
Top Bottom