Kiufupi ni kwamba awa jamaa wako vizuri sana katika gamu ya hip hop hapa bongo, wamefanya mapinduzi ya kupigiwa mstari, kuanzia uandishi, ghani yaani atleast zile nguzo tano za hiphop wanazifuata...
Wakati imebakia miezi michache kabla ya uchaguzi na kushuhudia CCM ikijinyakulia ushindi tena wa KISHINDO, si mbaya tukajikumbusha kale kawimbo ketu ambacho kanasema " watanzaniaaa, watanzaniaa...
kuna maneno mengi yameibuka ndani ya mitandao eti kuna walio muona live zari the boss lady kupitia,all white party wameanza kumlinga nisha na wema sepetu, eti wameanza kusema na kucoment kwamba...
Umofia kwenu wana JF,
Nazitafuta hizi nyimbo sana bila mafanikio,mwenye nazo please naomba azi-attach hapa.
1:Bichuka-Si wazuri Binadamu.
2:Patrick Balisidya-Wema Hawana Maisha...
Busara na hekima ni siri ya mafanikio ya huyo boxer.
Baada ya mpambano wa jana wall yake facebook ameandika "To all the fans, thank you for all your support. Thank you for always being there for...
Floyd Mayweather Jr Retires!
Official personal statement:
It is with a heavy heart that I write you this message today. I have decided to permanently retire from boxing. This decision was...
Nilikuta zimepostiwa kwenye thread moja ikabidi nitafute hizi series nikazidownload walaaah ni nzur kish**nz
nazo ni The 100 ambayo imeishia season 2 na the last ship nayo imeishia season 2 kama...
Habari zenu wana JF..
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 24.
Nimezaliwa ktk familia ya kipato cha chini(maskini), elimu yangu ni O_level kidato cha nne.Nimezaliwa ktk wilaya ya Kibondo...
jamani wadau nimeambia na watu wengi wa karibu ikiwemo ndugu zangu nifanye mashindano ya umiss
sasa najua kuna kuanzia level za vitongoji na mambo mengine hapo katikati
nina vigezo vingi so...
Haya fuatilieni mahojiano juu ya tamaisha hili la leo mjionee na kusikia kama maandalizi yanaendana na thamani ya tiketi zenu au ni ujanja ujanja wa mjini wa waandaji?ni live clouds tv/radio...
Zari/Diamond White Party imetangazwa kwa muda mrefu sana na ndiyo hiyo
imeshatimia inafanyika usiku wa leo 1/5/2015.Kiingilio ni mamilioni, malaki
na maelfu na kuna watu wanahaha kutafuta tiketi...
R&B and soul singer Ben E King, best known for the classic song Stand By Me, has died at the age of 76.
King started his career in the late 1950s with The Drifters, singing hits including There...
Licha ya kua ni mwanamziki anaefanya poa sana kwenye tasnia hii ya muziki wa bongo flavor hasa kwa upande wa R&B, kias cha kubeba tuzo kadhaa za mwanamuziki bora wa R&B pia hata wimbo bora wa R&B...
Kwenye link hapo chini nimeweka wimbo wa Mrisho Mpoto uitwao "Waitwe"
Nimeusikiliza mara mbili tatu ila sielewi maana hata kidogo. Ni nani hao anataka waitwe na kwa sababu gani?
Huyu Mjomba kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.