Jana nilikua mmoja kati ya Watanzania wachache tuliopata mualiko wa kuhudhuria ugawaji wa Tuzo za Kilimanjaro Music Awards. Kwanza niwapongeze Organization nzima ya KTMA wakishirikiana na...
read the full article here https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/868639-diamond-platnumz-assists-fellow-tanzanian-artists-to-the-next-level.html
The King Ally Kiba fans' special thread,
Tujumuike hapa (11,191) »( ... Last Page)
Diamond Platinumz fans' special thread: Njooni
tukutane hapa (4,735) »( ... Last Page)
hata kwa hili...
Msanii wa stand up comedy wa Uganda ameamua kuhamasisha vijana kujiandikisha kuweza kupiga kura 2016.
http://www.youtube.com/watch?v=svczp7WH9V0&sns=em
Huyu jamaa ni kiboko na ni mbunifu asiye na mpinzani na kanivutia mpaka siku hz nahudhulia kanisani kila juma pili kutokana na ubunifu wake wa kupiga kinanda kwa kutumia tune za za makabila na...
Habari wanajamvi,
Nimeguswa mno na hii hali ya utimu inayoendelea.
Nini chimbuko la hizi teams?
Nani ni mchochezi kati ya wahusika na mashabiki?
Wahusika wamewahi toa tamko lolote kuhusu...
These kids are the real deal.
Since the release of 'Yamoto' (their best tune to date, in my opinion) they have consistently raised their game up in all facets of their music - composition...
Kiukweli nasikia harufu na kila dalili za ugomvi uliosabisha kifo cha Tupac na B.I.G kutokea hapa TZ kwa ali kiba na Diamond. Kwasabu ya chuki zilizopandikizwa na Wanawake(Wema na Jokate)
Kuna...
#Repost
Well Nimekuwa nikipokea maswali na Comment nyingi eti kwanini sitangazi vipengele vyangu vya Tunzo watu wanipigie kura...tafadhali naomba mniskilize kwa umakini:
"Ikiwa MOE MUSIC...
Kweli Mungu akisema ndiyo hapana wa kusema Hapana.
Hili ni somo kwa jirani zetu #TeamJuiceMalimao .
Hiyo ni Texas usiku wa leo, ni live show bila cd sio kama yule msanii wa kimataifa...
Usiku wa jana, Juni 13,2015 hapa nchini ulishuhudiwa utoaji wa tuzo mbali mbali kwa wasanii wetu hapa nchini. Ningependa kuwasifu KTMA na BASATA kwa uwezo wao wa kujaji nani apewe tuzo fulani...
Hakuna ubishi kua kwa sasa diamond platnumz ndie msanii anae ongoza kupigwa vita kuliko msanii yeyote hapa nchini.
Vita hiyo ina ongozwa na baadhi ya walio wahi kuwa wapenzi wake pia na...
Kwa wapenzi wa muziki wa Bongo Fleva, usiku wa leo ndio utakuwa na ushindani mkubwa katika katika kinyanganyiro cha Tuzo za Muziki za Kilimanjaro 2015.
Sherehe za utoaji tuzo hizo zitafanyika...
Jana kulikuwa na utoaji tuzo za kilimanjaro music awards.
Napenda kuwapa pongezi waandaaji wa tuzo hizo kwani zimetolewa kwa haki kabisa kwa kila aliyestahili.hamna aliyeonewa kwa wanaofikiri...
Hamna kitu kimenifurahisha kama Kusikia ally kiba ni mtunzi bora zaidi ya Barnaba!!!... barnaba anayetunga nyimbo zake, za vanessa mdee pamoja na hii nyimbo inayotamba san ya Ruby...anapitwa na...
Je ni kila mtindo unaopigwa na masharo baro au ni muziki wa dansi wa kiswahili uliokolezwa bila vyombo halisi?(Muziki wa kutengeneza kwenye computer?)
Ni kawaida kukuta muziki wa Kwaito ukiimbwa...
Naomba nianze kwanza na hichi kipengere,iv kuna mtumbuizaji bora apa bongo zaidi ya diamond kweli?
Na kama wanaangalia show basi Chibu is da best kabisa,kwa mwaka huu Kiba sidhani kama alikuwa...