mtoto wa maskini
JF-Expert Member
- Jun 28, 2013
- 1,152
- 638
Habari zenu wana JF
Mi ni kijana lakini ni mpenzi sana wa music wa kizamani ila bahati mbaya sijui historia zao basi naomba mwenye kujua historia au wapi ntapata historia za wanamuziki au band hizi za zamani ntafurahi sana.
1. Serengeti Band
2. Kilimanjaro Band
3. Less wanyika
5. Msondo ngoma
6. Ottu jazz
7. DDC Mlimani park
8. Tabora Jazz
9. Orchestra Marquis
19. Mlimani park orchestra