tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,854
Wadau naombeni list ya nyimbo za Album ya "Mambo iko Huku" kuna wimbo mzuri sana ulikuwa katika hiyo album "tape cassette". Wimbo huo nimeusahau jina ila ulikuwa side B ya album hiyo.
Mkiweza kuniorodheshea nitaukumbuka.
msaada wenu please
Mkiweza kuniorodheshea nitaukumbuka.
msaada wenu please