Brother Kaka.
Member
- May 11, 2015
- 66
- 32
Habarini wakuu.
Nimesomea masuala ya Lugha ya Kiingereza na Kiswahili.
Na nina interest kubwa katika utangazaji wa redio na Tv.
Kwa anayefahamu utaratibu wa mtu kuweza kupata nafasi ya kujitolea katika vituo vya redio/TV hapa Dar naomba anijuze,
Au anidirect katika kituo husika.
Sichagui kituo, kiwe kikubwa, kidogo, kikongwe au kichanga,
Nitajotolea kwa moyo wote na kudhihirisha uwezo na kipaji nilicho nacho.
Shukrani kwenu wakuu.