Huu wimbo umeimbwa na nani na unaitwaje?

Huu wimbo umeimbwa na nani na unaitwaje?

Konda wa bodaboda

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
7,981
Reaction score
4,174
Kwa wale wasikilizaji wa DW swahili(Idhaa ya kiswahili ya sauti ya ujerumani) kuna kipindi cha makala ya Afrika kinachozungumzia masuala mbalimbali yanayohusu bara la Afrika.
Wakati kipindi hicho kinaanza kuna wimbo unasikika kwa maneno haya...."Eeeeeh Afrika eeee ooooh Afrika eeee ooooh ni bara"
 
Dah!!yaani Mkuu huu wimbo nimeutafuta sana tangu mwaka 2004 sijaupata mpaka leo na tatizo kubwa sijui jina lake wala kaimba nani but kwa beat lake nadhani ni Wasauzi wale.
 
Ni mkongo baada ya kutoa wimbo huu aliuawa angalia YouTube video imeandikwa maneno kwa kingereza..!!Franklin le boucheron
 
Mkuu Kama unatumia Android phone install trackid app,in a detect wimbo na kutoa jina na mwimbaji wake,nadhan mdau kashakupa jibu hapo juu.
 
Ndio huyo huyo franklin boukaka au mkuu hapo juu amekosea?

Hajakosea nimejaribu kucheki nadhani Manu Dibango alirudia ila origin ndio wa huyo Franklin Boukaka mana walifanya kazi pamoja na Manu alitengeneza baadhi ya nyimbo za Franklin
Wimbo huu hapa mkuu Watch "Gwenn Music\ Franklin BOUKAKA - AFRICA" on YouTube - https://youtu.be/pO_CzxbhSNw
 
Mi nimeusikiliza ila haupo kwenye ubora kama ninavyousikia DW swahili maana huu beat linasikika kuliko sauti na wimbo unaimbwa taratibu tofauti na unavyosikika DW.
 
Mi nimeusikiliza ila haupo kwenye ubora kama ninavyousikia DW swahili maana huu beat linasikika kuliko sauti na wimbo unaimbwa taratibu tofauti na unavyosikika DW.

Basi ambao una quality ni hua wa Manu Dibango mkuu. Acheki youtube ziko zote
 
Back
Top Bottom