Nimemuelew kwanza Davido kufanya Collabo na msanii mwenye jina kubwa ulimwenguni Meek Mill hii ndo hatua inayotakiwa hii inaonysha ni mafanikio makubwa na Davido anazidi kukuza jina..
Tukiangalia...
chekechaaaa cheketuaa cheke..
Kuna habari njema zaidi kwa watanzania wote wapenda mziki hasa member wote wa JF kwamba video ya hili song la CHEKETUAAA ipo tayari imerokodiwa marekani na...
BET Awards waliamua kuweka vipengele viwili vya Best International Act kwa Afrika na UK ili kutambua ukubwa wa viwanda ya muziki katika maeneo hayo. Hata hivyo vipengele hivi hutolewa saa chache...
MARIO BY LUAMBO LUANZO MAKIADI
Oh Mario
Luka ata mwasi yo moko obala- OH MARIO, LOOK FOR AN APPROPRIATE WOMAN THAT YOU WILL MARRY
Mario mosala kolinga ba maman mobokoli-YOU HAVE A PENCHANT...
Ni baada ya kuicheki video ya BILIMA ya nuhu mziwanda. Yaani jamaa (Hanscana) kaiga idea ya director wa video ya wizkid - show you d money. Kuanzia ile halaiki ya watu iliyowazunguka akina nuhu...
Habari wana jamvi...leo nakuja na mada hii mezani.Ni ruksa kuchangia,kukosoa,kupunguza ama kuongezea........binafsi mi ni mfuatiliaji mzuri wa nyimbo za kitanzania na bila kupindisha ukweli nyingi...
Hivi mtangazaji gani hasa ndo ana act kama mwewe kwenye habari za cloud tv?
najua wapo tofauti tofauti but kuna mmoja ndo anakuwa often na ndo anaipatia sana hii segment ya mwewe
wengine huwa...
Mara nying huwa sipend sana kuzungumzia wanamuziki. lakini kuna mtu ninapozungumzia muzik wa Bongo hasa Hip Pop ( mtanisahihisha kama nmekosea kwenye kuandika) siwezi msahau huyu jamaa Fid Q. huyu...
Amini usiamini huyu kijana hakuna wa kumfananisha naye kwa sasa Afrika Mashariki na kati katika suala zima la muziki.Kafanya mambo makubwa ambayo hakuna msanii ambaye ameweza...
Google wakishirikiana na You tube wameruhusu wabunifu(creators) kupata mkwanja kupitia video content wanazoweka you tube kupitia matangazo(advertisiment),
Paid subscriptions na merchandise.
Hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.