Mwisho wa Rick Ross, The boss, Mastermind umekaribia, "Rise and Fall of Rick Ross''

Jack Beur

JF-Expert Member
Feb 26, 2010
222
246
Maisha ya mwanadamu ni kama maua, yanachanua na kunyauka....huyu mshkaji aliyekuwa askar magereza sijui aliibukia wap akapata hela kibao, akaishi maisha ya kifahari na anasa kibao, akimilika bonge la jumba lenye thamani ya bilion 5 na ushei, pamoja na kumiliki magari kadhaa ya kifahari. Akajaa kiburi akiamini yuko juu ya sheria, sasa mambo yamemgeuka, anakabiliwa na kesi ya kumteka na kumtesa mlinzi wake, kesi iko mahakamani, yuko nje kwa dhamana ya dola milion 2 pamoja na jumba lake la kifahari lenye thamani ya zaidi ya bil 5 Tsh.

Hata kama asipoenda gerezani atalazimika kulipa fidia kubwa kwani hiyo dhamana aliyoweka inareflect uzito wa kesi inayomkabili, poor Robert.....huenda alifikiri kuna wakubwa wanaoingoza Marekani ambao amekuwa akiwatumikia kama kibaraka, ''puppet ''wao kutimiza malengo yao kupitia muziki industry kwamba watamsaidia, maskini wamemtosa baada ya kuona he is useless for now make amegundulika kuwa na kansa ya tumbo, may be he is a dying person with shorter time to live, hata ukimwangalia crip zake za sasa you tube anatia huruma,uso umechookaa, siye yule Mastermind niliyekuwa namujua.

Hawa big fishes walishafikia hadi kumtumia Robert, Rick Ross kuimba ''DEVIL IS A LIE'' , mashairi yaliandikwa na Jay Z.

Sasa wamentosa baada ya kuona hana thamani tena, trust me, mshikaji ndio safari ya umaskini imeanza, The rise and fall of Rick Ross, the Boss, the Master mind...
 
You start to follow mainstream music nowadays or what!!!!

For hiphop artist to be in jail in US its just normal wayne,TI,Gucci,2 pac,lil kim and the list goes on hao emcee mpaka leo wapo bado wanafanya mainstream(except pac RIP)

Kuhusu cancer kwa nchi za wenzetu they can deal with it

Also remember 1 thing Ross is worthy 30mill dollars!!!!
 
Mleta uzi kama hujui kaa kimya. Hawa jamaa wanaenda jela kila siku na kutoka na wanaendelea kama kawa

Usichojua kuhusu dhamana Ni ukilipa 10% ya kiasi cha dhamana yenyewe basi unapewa dhamana
 
hebu nieleweshe kidogo kuhusu hiyo nyimbo devil is a lie mbona kama vile inaamanisha shetani muongo kwani ina tatizo lolote sidhani kama inasupport Illuminati
 
Harafu wale jamaaa hata wakikaa miaka saba jail bado akitoka fedha ipo,mpelekeni jailed mtu km diomond&ally k mwaka mmoja harafu uone,chezea USA
 
Mtoa uzi ni kanjanja endelea kumfuatilia kiba wewe mbele mambo ni mengi kuliko unavyoyaona
 
Hata sijaelewa kitu hapa na namwomba mungu nisielewe chochote hapa!
 
2m $ kwa msanii wa state ni hela mbuzi,hilo swala la cancer yeye ndio alilisema tangia mwaka jana November na huko kwao maswala ya tech yapo juu ataweza kupona au kuinyong'onyeza kwa miaka mingi.
 
Mleta mada hujui muziki wewe kaa kimya. Kwanza Rick Ross hakosi hizo 2 million dollars,net worth yake ni 35 million dollars. Do your homework! Anatumia jina tu la mtu aliekuwa anaitwa Rick Ross ambae alikuwa askari wa barabarani. Pili Rick Ross hakumteka mlinzi wake, alimteka mtu baki yeye akiwa na mlinzi wake. Ndo maana wote, yeye na mlinzi wake wameshtakiwa. Hizo habari za kansa ni uongo. Unanichosha bure. Uwe unajipanga kwanza kabla hujaja kwenye jukwaa la great thinkers!!
 
The boss kwa utajir wa 35ml$ fany hesabu kidogo mkuu utagundua hiyo ni hela ya maandazi,pia kwa ishu ya kansa kwa wenzetu sio tatizo kihivyo hasa kwa mtu mwenye mkwanja mrefu kama rozay!!!hustle continuez!!!
 
Fuatilia lyrics za hitsong hii ya rick ross na jay z n john legend,,thiz guyz ni zaidi ya tuwajuavyo

This is for the soldiers the see the sun
At midnight, ya dig
Let me slow down (it's so incredible)

[Rick Ross Verse]
I go to the grave before I be a bitch nigga
Better behave, you're dealin' with some rich niggas
We the lost symbols, speak in cryptic codes
Ancient wisdom, valuable like gifts of gold
I embark on life, my path is all math
I understand the codes these hackers can't crack
I understand that folks expect me to fold
Community control to violate parole
I won't fail, but a lot of men will
I'm iconic in the field, like Solomon's Seal
Uh, it's just an intro
Allow my flow time to sink into the temple
Free Mason, freelancer, free agents, we faster
Big contracts, big contractors
Built pyramids, period we masters
No caterpillars, it was just a lot of niggas
A lot of great thinkers and a lot of great inventors
All white mansion, I'm the child of God
All black diamonds, times were hard
New Rolls Royce
Guess you made it, nigga
All white neighborhoods, you they favorite nigga
My top back like J.F.K.
They wanna push my top back like J.F.K.
So, so I J.F.K.
Join Forces with the kings and we ate all day
Right now I could rewrite history
I stopped writin so https://jamii.app/JFUserGuide it, I'll do it mentally

[Rick Ross & John Legend Chorus (x2)]
I go to the grave before I be a bitch nigga
Better behave, you're dealin' with some rich niggas
Started in the ghetto, now we worldwide
Multiplying and I pray to God we never die

[Jay-Z Verse]
Niggas couldn’t do nothing with me they put the devil on me
I would have preferred if niggas would squeeze the metal on me
Rumors of Lucifer, I don’t know who to trust
Whole world want my demise, turn my music up
Here me clearly
If y’all niggas fear me, just say y’all fear me
https://jamii.app/JFUserGuide all these fairy tales, go to hell this is God engineering
This is a Hail Mary pass, y’all interfering
He without sin shall cast the first stone
So y’all check in the mirror, double check your appearance
Bitch I said I was amazing
Not that I’m a Mason
It’s amazing that I made it through the maze that I was in
Lord forgive me I never would’ve made it without sin
Holy Water, my face in the basin
Diamonds in my rosary shows he forgave him
Bitch I’m red hot, I’m on my third six but the devil, I’m not
My Jesus piece flooded but thou shall not covet
Keep your eyes off my cupboard
I’m a bad motherfucker, it’s Hov just say you love it

[Chorus]

If I ever die, never let it be said I didn't win
Never, never say
Never say Legend didn't go in (Imma go in)
I just wanna die on top of the world
Makin' love to my favorite girl
Makin' beautiful music, we makin' a movie
 
Fuatilia lyrics za hitsong hii ya rick ross na jay z n john legend,,thiz guyz ni zaidi ya tuwajuavyo

This is for the soldiers the see the sun
At midnight, ya dig
Let me slow down (it's so incredible)

[Rick Ross Verse]
I go to the grave before I be a bitch nigga
Better behave, you're dealin' with some rich niggas
We the lost symbols, speak in cryptic codes
Ancient wisdom, valuable like gifts of gold
I embark on life, my path is all math
I understand the codes these hackers can't crack
I understand that folks expect me to fold
Community control to violate parole
I won't fail, but a lot of men will
I'm iconic in the field, like Solomon's Seal
Uh, it's just an intro
Allow my flow time to sink into the temple
Free Mason, freelancer, free agents, we faster
Big contracts, big contractors
Built pyramids, period we masters
No caterpillars, it was just a lot of niggas
A lot of great thinkers and a lot of great inventors
All white mansion, I'm the child of God
All black diamonds, times were hard
New Rolls Royce
Guess you made it, nigga
All white neighborhoods, you they favorite nigga
My top back like J.F.K.
They wanna push my top back like J.F.K.
So, so I J.F.K.
Join Forces with the kings and we ate all day
Right now I could rewrite history
I stopped writin so https://jamii.app/JFUserGuide it, I'll do it mentally

[Rick Ross & John Legend Chorus (x2)]
I go to the grave before I be a bitch nigga
Better behave, you're dealin' with some rich niggas
Started in the ghetto, now we worldwide
Multiplying and I pray to God we never die

[Jay-Z Verse]
Niggas couldn't do nothing with me they put the devil on me
I would have preferred if niggas would squeeze the metal on me
Rumors of Lucifer, I don't know who to trust
Whole world want my demise, turn my music up
Here me clearly
If y'all niggas fear me, just say y'all fear me
https://jamii.app/JFUserGuide all these fairy tales, go to hell this is God engineering
This is a Hail Mary pass, y'all interfering
He without sin shall cast the first stone
So y'all check in the mirror, double check your appearance
Bitch I said I was amazing
Not that I'm a Mason
It's amazing that I made it through the maze that I was in
Lord forgive me I never would've made it without sin
Holy Water, my face in the basin
Diamonds in my rosary shows he forgave him
Bitch I'm red hot, I'm on my third six but the devil, I'm not
My Jesus piece flooded but thou shall not covet
Keep your eyes off my cupboard
I'm a bad motherfucker, it's Hov just say you love it

[Chorus]

If I ever die, never let it be said I didn't win
Never, never say
Never say Legend didn't go in (Imma go in)
I just wanna die on top of the world
Makin' love to my favorite girl
Makin' beautiful music, we makin' a movie

They smell something huh.. Sasa wanajua kitakachowapata
 
Mtoa mada polee!hii ndio JF bwana!akianza kukudiss mmoja basi wote watakaofata watakudiss tu hata kama hawamjui huyo msanii watakwenda google kusoma halafu watarudi kukudiss!ahahahahaa!!pole sana
 
Mtoa mada polee!hii ndio JF bwana!akianza kukudiss mmoja basi wote watakaofata watakudiss tu hata kama hawamjui huyo msanii watakwenda google kusoma halafu watarudi kukudiss!ahahahahaa!!pole sana

hehe kweli, wanaJF wengi wanaendeshwa na upepo wa 'top comment', kama aliyeanza kucoment amesifia basi utasifiwa hadi mwisho, kama aliyeanza kaponda basi utapondwa hadi mwisho teh teh
 
Back
Top Bottom