Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

kati ya hawa watangazaji nani mkali? nani wakumbali?
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Usiku wa jana, Juni 13,2015 hapa nchini ulishuhudiwa utoaji wa tuzo mbali mbali kwa wasanii wetu hapa nchini. Ningependa kuwasifu KTMA na BASATA kwa uwezo wao wa kujaji nani apewe tuzo fulani...
4 Reactions
26 Replies
6K Views
Hakuna ubishi kua kwa sasa diamond platnumz ndie msanii anae ongoza kupigwa vita kuliko msanii yeyote hapa nchini. Vita hiyo ina ongozwa na baadhi ya walio wahi kuwa wapenzi wake pia na...
14 Reactions
202 Replies
23K Views
Kwa wapenzi wa muziki wa Bongo Fleva, usiku wa leo ndio utakuwa na ushindani mkubwa katika katika kinyang’anyiro cha Tuzo za Muziki za Kilimanjaro 2015. Sherehe za utoaji tuzo hizo zitafanyika...
0 Reactions
165 Replies
15K Views
Huu wimbo ni staili kama ya R&B , naupenda ila sijui ni wanani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana kulikuwa na utoaji tuzo za kilimanjaro music awards. Napenda kuwapa pongezi waandaaji wa tuzo hizo kwani zimetolewa kwa haki kabisa kwa kila aliyestahili.hamna aliyeonewa kwa wanaofikiri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hamna kitu kimenifurahisha kama Kusikia ally kiba ni mtunzi bora zaidi ya Barnaba!!!... barnaba anayetunga nyimbo zake, za vanessa mdee pamoja na hii nyimbo inayotamba san ya Ruby...anapitwa na...
9 Reactions
70 Replies
7K Views
Je ni kila mtindo unaopigwa na masharo baro au ni muziki wa dansi wa kiswahili uliokolezwa bila vyombo halisi?(Muziki wa kutengeneza kwenye computer?) Ni kawaida kukuta muziki wa Kwaito ukiimbwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba nianze kwanza na hichi kipengere,iv kuna mtumbuizaji bora apa bongo zaidi ya diamond kweli? Na kama wanaangalia show basi Chibu is da best kabisa,kwa mwaka huu Kiba sidhani kama alikuwa...
2 Reactions
57 Replies
7K Views
Sikatai kiba anajua mziki lakin hajathubutu n diamond anajua na amethubutu,Ubora wa Aly kiba ni ukongwe kwenye game bt diamond anajua nini anachokifanya ndomana kwa sasa anajulikana kimataifa...
0 Reactions
1 Replies
863 Views
Nimejaribu kuziangalia mara kadhaa hizi terminator trilogy kama, terminator, judgment days, rise of machines, salvation na trailer la Genesis(coming soon). Idea kubwa ktk movie ni time travel na...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Naomba kwanza kwa ngebe.....majigambo....mbwembwe .......heshima......taadhima.......misifa........nyodo ......na ufahari mkubwa kutamka wazi kuwa mimi ni "die hard" and "true fan" wa muziki wa...
7 Reactions
71 Replies
10K Views
Ndugu yenu kiba hana uwezo ila kwakuwa hamkuwa na kazi ya kufanya kupanga matokeo tofauti na yanavyotakiwa kupangwa Ipo siku uwezo wa mond utaonekana wazi tu mana watz walio wengi hawapend...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Closed
Instagram hapatoshi, anayejiita ze kingi of all sosho media in Tz anatumia nguvu nyingi sana kupinga matokeo ya ushindi wa tuzo za watu wa King Kiba kwa kutupilia mbali na kudharau taratibu za...
0 Reactions
577 Replies
49K Views
==== Kutohudhuria kwa Lady Jay Dee na Mzee Yusuph ============ Yaani hawa watu wawili wanadharau sana,tena huyu JIDE ndo haswaa kila mwaka siku ya tuzo haji anaagiza watu tu wamchukulie tuzo...
0 Reactions
687 Replies
105K Views
Sitaki kuamini kwamba Tuzo hizi zina upendelea. Naamini kwamba tuzo zimetokana na jitihada binafsi za washiriki. Binafsi ningependa kuwapa Pongezi za kutosha kwa viongozi wote wa #TeamKiba .
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF,utakubaliana na mim kwamba siku hiz mziki umehama toka kwenye uhalisia na umebaki kuwa mziki wa makundi.Washabiki wa mziki tumekuwa hatuangalii tena ubora au mapungufu ya kaz ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Haiingii akilini wimbo uliotoka mwezi Novemba na kutamba miezi miwili,ushindanishwe na wimbo uliotoka mwezi Machi na kutamba miezi kumi ktk mwaka husika.Ndio maana wasanii wapenda tuzo wanatumia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
VERSE 1. Alikuwa binti mzuri, Enzi akiishi na babake, Alipendwa sana, Coz alimpata kwa shida, Alipendeza kwa mavazi kila siku ukimuona, Alivaa black shoes, Iliyolandana na ngozi yake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom