Kuna mambo mengine huwa ni uamuzi tu. Kufanikiwa kwenye jambo lolote lile maishani kunatokana na namna mtu anavyolitazama hilo jambo. Ni suala la kukuza picha tu. Watu wafanye mambo huku wakiwa na...
Habari zenu wadau , Mimi ni kijana mwenye ndoto za kufanya mapinduzi katika sector ya film Tz ,Nina imani kwa script zangu nilizo kuwa nazo na uwezo wangu wa kuigiza nita weza kufanya vitu adimu...
Wakuu poleni na majukumu nina utafuta wimbo mmoja wa marijani rajabu...anapiga sana guitar halaf anasema Huyo humuwezi daktari wake mimi je unaitwaje? nitashukuru sana sana kwa atakayenisaidia...
Huyu mwanamama alitengeneza nyimbo kali sana,
nikicheki picha ya huyu mrembo nakumbuka ngoma hizi zake kali sana
umqombothi, motherland,makoti , im in love with a dj, Sangoma
ipi ilikuwa hot...
wadau kuna nyimbo za taarabu za zamani zilizopigwa na abdul misambano akiwa na leila khatibu.nimezitafuta mpaka nimechoka.Leila wangu,asuu, nk nitazipata wapi jamani? Msaada tafwadhari! @jamani
Lile shindano la kusaka vipaji vya wanamuziki Tanzania sasa limerudi tena baada ya kupotea kwa mwaka mzima 2014 na sasa litakua likirushwa na CLOUDS TV pamoja na Star TV alisema jana madam Rita...
Nimekaa sehemu na maji yangu na nyagi pembeni nikaskia nyimbo kali sana. Mhudumu hajui title ila kaniambia ni kala jeremiah na roma.
Hawa vijana hatari.
Naomba mwenye clip na lyrics aweke...
Diamond Platnumz anazidi kuthibitisha nguvu aliyonayo. Ni siku 12 tu tangu aachie video ya wimbo wake ‘Nana' aliomshirikisha Flavour, lakini tayari imepata views zaidi ya milioni kwenye...
Wakuu,
Hivi inakuaje msanii anafunikwa na mtu aliyemshirikisha kwenye wimbo wake? Yaani aliyeshirikishwa ndio anasikika kuliko mwenye wimbo na hapa kuna mifano lukuki. Chukulia yule msanii wetu...
Tuzo za KORA-All Africa Music Awards 2015 zimerejea kwa kishindo, ambapo zawadi kubwa kwa mwaka huu itakuwa USD 1 Million (sawa na zaidi ya shilingi bilioni 2).
Wasanii wa Afrika na diaspora...
Wimbo mpya alioufanya davido akishirikiana na Rapper anaejulikana ulimwenguni kote, Meek Mill aliyechini ya label ya Maybach music ambaye ni mpenziwe mwanadada Nick Minaj unaonesha jinsi gani...
Kwanza kabisa naomba nijihami,sina lengo la kisiasa hata kidogo kwa kitu ntakachokiandika hapa,ni hobby tu nothin more.
Siku January Makamba anatangaza nia,kuna kawimbo fulani hvi walikuwa...
521
Kipindi inatoka chekecha chekechua ya alikiba team domo waliongea sana kuwa beat imechakachuliwa toka kwa wimbo wa matonya -unanimaliza....haya sasa NAKUKUMBUKA ya diamond ni copy na paste ya...
Zimebaki siku mbili tu ili tuweze kushuhudia mpambano wa Tuzo za Muziki za kili
Mpambano mkali unatarajiwa kati ya Kiba na Dimond
Tukae mkao wa kula.........
Hitmakers hawa wako kwenye upinzani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.