Kila kukicha kuna series kibao na mamovie ya kumwaga.
And every serie is nothing new.
Hivi kina Jack Bauer siku hizi hawawezi kuwa replaced?
Hebu angalia haya madude
Hebu na nyie ongezeni...
Baada ya kijana wangu kunisisitiza nimpigie kura mwanamziki anayempenda katika MTV mama awards, nimelazimika kutembelea website ya MTV BASE ili kutimiza ahadi niliyoitoa jana jioni kwa mtoto...
Kuna nyimbo zikipigwa hata kila huwa nahisi kama bado mpya vile...
10. BUSHOKE - NINKUGONZA
9. BEYONCE - HELLO
8.ALI KIBA - NAKSHI NAKSHI
7.2 FACE - IF LOVE IS A CRIME
6. MB DOG -...
Video mpya ya malengandary wa muziki duniani, rais wa wasafi duniani,Diamond Platnumz na mtaalam Kcee leo wanaachia video yao bora ambayo haijawahi tokea duniani,majira ya saa sita mchana.stay...
Mtv Base wamewataja na kuthibitisha wasanii watakao tumbuiza nchini nigeria kwenye mtv base africa road to MAMA july 3.
Iyanya
Olamide
Yemi Alade
Phynofino
Diamond platnumz
Lilkesho
msanii tajiri kuliko wasanii wote Tanzania ambae anaishi na mwanamke mrembo kuliko wanawake wote afrika, wanaeishi nae katika ikulu ndogo ya Madale ambapo hakuna msanii yeyote aliefikia hadhi...
Kama kasi ya kuporomoka kwa Muziki wa Bendi (Rumba na Dansi) itaendelea katika awamu ijayo (awamu ya 5) hakuna shaka kwamba Bendi kongwe (Msondo Ngoma na Sikinde) zaweza kutoweka, kufutika na...
Wakuu hope mko powa.
Kuna huu wimbo huwa naukumbuka niliusikia sehemu ila sikuukariri vizuri na wala sina uhakika kama muimbaji ninayemdhani ni yeye au la!
Wimbo wenyewe una maneno ambayo...
Mi ni big fan wa mazingaombwe ....huwa nina maswali mengi natamani kupata maji bu
na hasa nikimtazama Criss Angel akifanya mazingaombwe yake huwa nashangaa sana
kama kuna watu wanaweza ku share a...
Wakuu nimeona Instagram meneja wa Diamond anaeitwa Salaam akilalamika wizi unaofanywa na menejiment ya King Kiba kuuza nyimbo za Diamond kwenye mtandao wa iTunes bila makubaliano yoyote...
Ghana's Dancehall artiste, Stonebwoy has won the award for Best International Act at the 2015 BET Awards.
He won in a category which included Sarkodie, South African cool kid A.K.A, and Nigerian...
Tangu mwaka 2015 uingie na miezi 6 kuisha kundi la psquare wamekuwa wakitoa kazi zao mfululizo, mpaka sasa zimeshatoka kazi 4. Kazi 3 zikiwa za kwao na 1 ikiwa ya kushirikishwa, huku wakiwa...
Half hour into the show and I already can call who kilt'it.
Hands down Jidenna [and Janelle Monae] with that banger 'Classic Man'.
That boy is clean.
Hahahahaaa.....I'm a classic man...You can...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.