Jumanne Iddi alipita kwa kishindo sana maana alikua na nyota nzuri lakini baada ya hapo hadi sasa wanaovuma ni wengine like Kala Jeremiah na wengine. Wachambuzi walisema mwenye kipaji alijua KJ...
Kuna rapper mmoja kutoka US, Kevin Gates mmoja kati ya marapper wenye michano unique na anaekuja vyema kati ya gemu la kufokafoka huko marekani. Nimetokewa kuvutiwa na namna ya uandishi na flow za...
Ile bendi maarufu ya chama chetu cha kijani ambayo ilikuwa inatumika sana kipindi cha kampeni kama hiki kumnadi mgombea wetu wa chama, hakika bendi hii ilikuwa moto wa kuotea mbali, wako wapi...
Amani iwe nanyi!
Tafadhali naomba mnijuze wapi naweza kupata hii series ya China inaitwa "A Beautiful Daughter-in-Law Era", hii ni ile series ambayo ilitafsiriwa kwa Kiswahili na kurushwa na TBC...
Jana Usiku Kupitia Diva na ala za roho ya Cloudsfm Aika na Nahreel ( navykenzo ) walisema wanatarajia kufanya Collabo na Patoranking.
Wakizungumzia Patoranking wanasema walikutana nae mwaka Juzi...
Jon Snow the Lord Commander isn't dead!!! He was seen filming season 6 in Northern Island.He is pictured wearing the Stark armour, i guess he isn't watching anymore.
Oh the show could have been...
Mkasi kila nikijaribu kuangalia show yenu on Youtube ili kuwa updated na habari za nyumbani nazidi kuwa disappointed, badala ya kwenda mbele mnarudi nyuma. Mwishowe sitakua na budi ila kuacha...
Wadau,
Naomba msaada, kwa mtu mwenye nyimbo ambazo hutumika kwenye mashindano ya Dance mia mia nazipenda sana, au kama unazifahamu majina yake. Mimi naifahamu moja tu ya gweta.
Nitumie to...
Sehemu ya kwanza
Mazoea kwa kweli ni ugonjwa pamoja nakuwa na kila kitu katika maisha yangu hakuna nilicho kikosa. Nilikuwa na maisha mazuri watoto wangu wote wana maisha mazuri, lakini tabia...
Mshindi wa shindano la Serengeti Masta Bw. Salum Ally (wa kwanza kushoto) akipokea kitita chake cha Tsh. 50,000/= toka kwa balozi wa bia ya Serengeti baada ya kuitambua ladha halisi ya bia ya...
Leo ilikuwa kali ya mwaka kwa wale waliofika Benki ya NMB Kiteto asubuhi..kwani baada ya kuingia tu walikutana na keki mlangoni, kisha kuombwa kuikata kwaajili ya kusherehekea miaka 10 toka...
back in the days tulikuwa tunabishana sana na washkaji kuhusu nani ni mkali kati ya superman na hulk the incredible, mabishano yalikiwa mazito kiasi kwamba sometimes kulikuwa na ugomvi ...
Wakuu habari zenu:
Live band ni aina ya mziki ambao msanii anaimba live bila kutumia cd kama ilivyokuwa awali
Mziki wa live band umeendelea kuiteka Africa baada ya davido na wizkid na wao kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.