Una akili ww??

Una akili ww??

Kaboom

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
10,827
Reaction score
15,015
Natamani bigiji ingeuzwa laki,gunia la gomba lingeuzwa jero/
Ccm sare ziwe kaki,chadema wangetinga kijani na yellow/

Igundulike Tiffa ni mtt wa Linex na Zari/
halafu Jackline Wolper ndo alikuwa dalali/

Waza wema sepetu kaolewa na kimbunga/
Salama J ndo mjane wa Kanumba/

Mtt wa Mwamunyange na MSAGA SUMU ni wachumba/
Ben pol ngoma ya sophia angeimba kama Tunda/

Vipi mrisho Mpoto angekuwa Hemed Phd,Angeburuza sana wachumba

Uhawaza Ney wa Mitego awe mfagia barabara/
Halafu Mr Blue konda wa daladala/

Vipi Izzo B ahazimwe Rasta na Afande sele/
Hlafu Masogange amuhazime tako Dyna Nyange/

Vipi Divalovenss angekuwa mchepuko wa mengi/
yayayayaa!!!! hapo tungeona mengi

Baghdad&Roma
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa
eti mzee majuto ndio dingi yake riziwan
 
Ngoja Inspector Haroun aje amjibu tena huyu mla majani
 
Back
Top Bottom