mr.chengachenga
Senior Member
- Mar 6, 2014
- 155
- 107
Habar wana JF.
Najua JF kuna watu wenye ujuzi au vpaji mbalimbali.Nikiamua kujifunza drums but napata shida kwenye mazoezi.Nimejaribu kupakua drummless tracks kwenye mitandao nmeshindwa, kama kuna mtu anajua jinsi naweza kuzipata anisaidie hata kwa mawazo tu.