1. 300.(1 & 2)
2. Give em hell malone.
3. SAW(All the series).
4. The Equalizer.
5. Sin City 1 & 2.
6. King Arthur.
7. The Inglorious Bastards.
8. The Bourne (series)
9. Gladiator.
10...
Maandalizi yakiwa yamepamba moto nyumbani kwa Diamond, Madale jijini Dar.
Wanafunzi wa Madrasa nao wapo kwa ajili ya 40 ya Tiffah.
Eneo itakapofanyika 40 ya mtoto wa Diamond, Princes Tiffah...
Add to the list; me zangu ni hizo hapo kwa leo.
Cold play- Magic
Uptown funk- Mark Robson ft Bruno Mars
Jealous-Nick Jonas
A sky full of stars-Cold play
The Matrimony- Wale ft Usher
What i did...
Ndugu wadau mie mpenzi wa bendi ya fm academia kwa hiyo leo weekend nataka nikafurahi nao ila sijui watataumbuiza ukumbi upi kwa mwenye kufahamu tafadhali anijulishe,Nawakilisha kwenu wadau Asanteni.
Wadau nautafuta wimbo unaoitwa The world's going bad. Umepigwa kwa mtindo wa reggae. Nilikuwa nikiusika, na ulivuma sana kunako miaka ya 1990. Zamani nilikuwa nikifiria ni wimbo mwanamuziki Sophia...
Wapenzi wa muvi habari zenu?
Bila shaka mmeshaisikia ama kuiona hii muvi ya the black mass ambapo yule mcheza muvi maarufu John deep kaicheza, mimi sijaiona naombeni mnisaidie jinsi ya kuipata...
Kumbe watu wengi wameshangaa Sanaa kum date
French Montana...wengi wanaona kajishusha sana na atajutia soon...
nilifikiri ni peke yangu nilifikiri hivi soma maoni ya watu humu
Sanaa Lathan...
- The Needle
lyrics
I am not a qualified physician
And I donât want to give this
injection
I am not a qualified physician
And I donât want to give this
injection
Dorothy is begging...
WANA JF NAOMBA MNISAIDIE JINA LA WIMBO WA TUNDA MAN WENYE VERSE HIZI,
"Nimezaliwa tarehe 5 themanna saba, sijawahi kuvaa kiatu alichonunua baba, kakataa katu katu kunipa msaada, toka darasa la...
Tujadiliane kwa facts,je ni kundi lipi kwa maoni yako ndo bora zaidi kuwahi kutokea nchini mwetu...
NAKO2NAKO~lord eyez,bou nako,g nako,ibra da hustlar, walitisha sana kwa hit songs zao kama...
Hebu tushare album kali za hiphop ambazo tumewahi kuzisikiliza...
1.illmatic ...Nas
2.Machozi jasho na damu... Prof J
3. Darubini kali- Afande sele
4. Blueprint 3- Jay z
5. Funga kazi .... HBC
WAKATI filamu ya kampuni ya Jerusalem ikisubiriwa kwa hamu sana na mashabiki wa filamu kutoka katika kampni hiyo, inayomilikiwa na Jacob Steven ambayo tayari ilishatoka na filamu kali kama...
Miaka Kumi Na Tisa Leo Tangu Kitokee Kifo Cha Aliekua Raper Wa Death Row Record Na Member Kiongozi Wa Kundi La The Outlawz Tupac Shakur Alieuawawa Kwa Kupigwa Risasi Kifuani Las Vegas Alipokua...
Wimbi la wasanii kutoa nyimbo zinazoikandia CCM limeshika kasi baada ya msanii mwingine kutoka Mbeya kutoa remix ya uliokuwa wimbo wake wa dini. Sipendi kuongea mengi ila pateni truck hiyo ina...
Wakuu habari. Sasa leo ni zaidi ya wiki kadhaa huwa namsikia huyu kijana wetu na ni msanii wa muziki wa dance JOSE MARA WA KIMARA kwenye kipindi cha Leo Tena cha clouds fm sasa wandugu naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.