Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wakuu habari zenu: Live band ni aina ya mziki ambao msanii anaimba live bila kutumia cd kama ilivyokuwa awali Mziki wa live band umeendelea kuiteka Africa baada ya davido na wizkid na wao kufanya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
https://www.hulkshare.com/roberteliah/ano-melody-rudi-nyumaprod-necka-beat
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika pita zangu nimeona hili. Msanii namba moja na anayeonekana tishio africa kama mashabiki wake wanavyosema: huu ni wimbo wake uliovuma kuliko zote na akimshirikisha msanii bora Davido una...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Huu wimbo sijui unaitwaje lakini wanaimba hivi 'polisi msitupige mabomu cdm serikali ijayo'
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Wakuu naomba mwenye wimbo huu wote wa muungano naupenda sana, hapa nilirekodi kipande kidogo sana TBC sasa mwenye wimbo mzima please naomba ukishindwa kutupia hapa ni pm to ili unitumie kwa njia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nana which was nabed by diamond platnumz has compafed its number over africa to 5 milion within calfot of time.nana has become chernity to most young generation baming africa.we can chug that...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
The lord commander isn't dead,he was spotted filming season 6 .oh afadhali the guy isnt dead.on this picture is seen wearing the Stark armour so i think he isnt watching anymore.
0 Reactions
1 Replies
696 Views
kama wewe ni mpenzi wa nigerian movies je ni muvi gan ambayo uliiangalia au ipo sokoni na umeipenda.... Share hapa movie unayoikubali ili na wengine waitafute..pia taja na character mmoja...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Karibuni wakuu hasa wadau wa hip hop katika kupeana punch lines zilizowahi kujenga siku yako kwa wasanii wa bongo/mbele.
2 Reactions
245 Replies
39K Views
Tupia jicho kwenye link https://m.youtube.com/watch?feature=youtu.be&v=8HW7lv0H344
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu mno kwa upande wa CCM,ukipanda Daladala Lowasa,vijiweni Lowassa.Ila ya leo ni kali zaidi.Nikiwa Katika harakati za weekend napata moja moto moja baridi Pale Calabash...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Naombeni msaada jinsi ya kuroot Tecno c8
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni vipi humu ndani?!. Natumaini mko poa asee. Katika moja ya aina za muziki nnazokubali mahadhi na rhythm zake ni ile ya Rock. Ingawa sio aina ya muziki ambayo inajulikana na kupendelewa sana na...
3 Reactions
118 Replies
13K Views
"Flirtin' With Disaster" I'm travelin' down the road and I'm flirtin' with disaster I've got the pedal to the floor, my life is running faster I'm out of money, out of hope, it looks like...
0 Reactions
0 Replies
462 Views
daaa nlikuan na wazia kua celebrity siku moja ila bado nakutana na vikwazo vingi sana. mf msanii kupata mkwanja anategemea sana show, vinginevyo ni viguu, ishu za ringtone bado naona hali tete...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hizi kwangu ni bomba mbayaaaaa! Arrow The last ship Tyrant Game of throne Vampire diaries Under the dome Orphan black Sim yangu
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Kuna album moja ya papa wemba nilikuwa nayo mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilikuwa na nyimbo nzuri ambazo kwa sasa nimezisahau. Katika album hiyo kulikuwa na wimbo ambao papa wemba alikuwa akiimba na...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Back
Top Bottom