live band hua mnatuibia

live band hua mnatuibia

Zekidon

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
1,903
Reaction score
569
Kwa niaba ya wapiga gambe wote nawalaani live band wote kwenye jamhuri hii ya mashaka.

inakuaje wooote wa waimbaji wenu sauti zenu zinafanana 100% iwe Mtwara au Kigoma.

Mnatuibia

Mnadhani tukinywa wote tunalewa?

Live iwe live sio maigizo.
 
calabash kuna bonge pale wanarudia nyimbo zilezile miaka na miaka
 
mi ndo nipo huko saizi,kwa kweli imefikia pindi nishakariri,kwamba ukitoka wimbo huu unafuata huu, yaani majamaa ni wezi kweli!japokuwa tunawafuata wenyewe!
 
Hahaha umenimaliza. .lakini kiingilio bia yako unategemea nini?
 
Back
Top Bottom