Moussa Diallo na wimbo wake

Moussa Diallo na wimbo wake

TheDealer

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
2,424
Reaction score
1,132
Wakuu wa entertainment!

Moussa Diallo simfahamu, lakini kuna wimbo mmoja maarufu sana bahati mbaya nimesahau jina lake. Ni maarufu kwelikweli ila wa zamani pia! Nasikia aliyeimba wimbo huo ni msanii mkongwe wa Afrika Magharibi, msanii ambaye anashikilia rekodi ya kuwa na wake wengi zaidi!

Naomba kufahamu kama ndio huyu anaitwa Moussa Diallo alionekana leo ITV habari ya saa 2? Na kama ndie, je nani mwenye kufahamu wimbo wake huo ulio hit sana miaka yote hadi sasa? Kimsingi ni wimbo ambao unaimbwa kwa lugha fulani hivi kama ya kikabila ama kikanda hivi ukisikiliza! Naomba jina la wimbo, na link yake kama inawezekana!

Natanguliza shukrani nyingi sana kwa yeyote atakayenielewa, na atakayejitahidi kunielewa!
 
Back
Top Bottom