Nikki Mbishi - Baba Salehe unaionaje?

Nikki Mbishi - Baba Salehe unaionaje?

kamandawasua

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
326
Reaction score
86
Nikki Mbishi - Baba Salehe unaionaje?
Mi nimeiskiliza mara zaidi ya 40, na yote anayosema ni ya ukweli.
Wewe umeisikiaje?
 
Unatazama wanawake kuliko Alama za barabarani!
Unajaza marafiki home utadhani una sherehe...
Ahadi unazompa mkeo utadhani unatongoza mwanafunzi wa sekondari
 
Nyimbo ni nzur bt kwangu mm naona kwa level za niki wa pili hakupaswa kutoa ngoma ile nahc amerud nyuma hatua kadhaa m sorry lakin
 
Back
Top Bottom