Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

C.Thady

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
589
Reaction score
155
Kuna nyimbo nimesikia kwenye radio ameimba mdada inambwa... 'Navu..navumilia baby you are my only haaaaaa' ameimba nani hii nyimbo??
 
Ameimba dada fulani hivi underground jina limenitoka kidogo
 
Kuipata kwenye mtandao sio rahisi maana ni underground, labda kama kuna mtu anao akakurushia, au wale jamaa wanaofanya biashara ya kuingiza nyimbo kwenye sim za watu

Sawa ninekuelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom