Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Tujikumbushe enzi za Yvonne Chakachaka akitesa kule South Africa, ni nyimbo ipi uliikubali zaidi toka kwake?
1 Reactions
12 Replies
7K Views
Kwa niaba ya wapiga gambe wote nawalaani live band wote kwenye jamhuri hii ya mashaka. inakuaje wooote wa waimbaji wenu sauti zenu zinafanana 100% iwe Mtwara au Kigoma. Mnatuibia Mnadhani...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari, Natafuta wimbo wenye maneno haya ndani yake "Umaarufu utapita ila mapenzi yatabaki palepale cha msingi simamia..." . Sifahamu jina la wimbo, ila sauti ya msanii ni ya TID, mwenye huu...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Achana na Yamoto Band, Twanga Pepeta nk. Habari ya mjini sasa ni MaSaMa Band. Imeanzishwa tarehe 5 November 2015. Wamiliki wa band hii ni watanzania wote. Wakati wa kuanzishwa kwake, karibia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
1.How am I suppose to live without you – Michael Bolton 2.Nothing compares to you - Sineod Oconor 3.Sometimes love just ain’t enough – Patty Smith 4.If you were with me now – Kylie Minogue...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani naomba kujua hili tamasha linafanyika wapi maana naona tangazo tu kuwa linafanyika leo tarh27 Nov2015
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Nikki Mbishi - Baba Salehe unaionaje? Mi nimeiskiliza mara zaidi ya 40, na yote anayosema ni ya ukweli. Wewe umeisikiaje?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kuna nyimbo nimesikia kwenye radio ameimba mdada inambwa... 'Navu..navumilia baby you are my only haaaaaa' ameimba nani hii nyimbo??
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Baada ya ukimya wa muda mrefu, hatimaye leo Mfalme wa Bongo Flavor " Alikiba" ataenda kuachia wimbo wa Taifa aliyoimba na Christian Bella, Baada ya Bella kuona anataka kuzidiwa ikabidi aimbe na...
0 Reactions
65 Replies
14K Views
Wakuu wa entertainment! Moussa Diallo simfahamu, lakini kuna wimbo mmoja maarufu sana bahati mbaya nimesahau jina lake. Ni maarufu kwelikweli ila wa zamani pia! Nasikia aliyeimba wimbo huo ni...
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Mwanamuziki Adele hivi karibuni ameachia kibao chake kinachoitwa hello, ni ngoma ambayo imepata waangaliaji wengi youtube kwa kipindi kifupi, kusema ukweli ni kibao kizuri kakiimba vizuri na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamaa mmoja huko nchini Zimbabwe kwa babu Mugabe kashinda kwenye shindano la kumsaka mkali mwenye sura ngumu (sura ya kiume) , na hatimaye kujishindia kiasi cha Dollar 500 US, Jamaa huyo...
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Bwana Yesu Asifiwe! Ile dhana kwamba usanii ni kuelimisha jamii, sasa kwa baadhi ya wasanii wetu wa muziki wa bongo fleva umepotoka na hatimaye kuiharibu jamii. Hili linatokea pale wanapotoa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari zenu? Jamani yeyote alie mpenzi wa tamthiliya hii inayooneshwa ITV na CITIZEN tupeane habari zaidi ningependa kujua anaefahamu marudio yake kwenye citizen tv maana wao huionesha saa8 mda wa...
2 Reactions
1 Replies
4K Views
Naombwa Kujuzwa Kwa Anay Faham Hyo Video Imetengenezwa Wap ,ntashukur Kwa Msaada Huo
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba kueleweshwa ukilipwa malipo ya adsense kwa njia ya western union kuna makato yoyote yanayokatwa kama Vat???
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The 10 Greatest Rappers of All Time Greatest Rappers of All Time Diehard fans, music nerds and critics love...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
salaam... jamani naombeni mnijuze lilikopotelea gazeti letu pendwa la katuni la sani. la enz za kina kipepe,kifimbo cheza na wengine wengi
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wanajukwaa najua kuna baadhi yetu tunapenda muziki na huenda katika nyimbo unayoipenda kuna baadhi ya maneno huwa huyapati vizuri so tutakuwa tukipeana lyrcis za nyimbo hapa. Hili ni kama...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom