Habarini wakuu,
Kama heading inavyojieleza hapo. Nahitaji mwalimu wa kunifundisha noten na kupiga kinanda(keyboard).
Mimi nipo Mwanza... Aliye tayari/anaefahamu wapi ntampata kwa Mwanza ani-PM tafadhali..
Natanguliza shukrani zangu kwenu!
Nipo serious kabsa mkuu
Kinanda sina ila ndio nilikiwa katika maandalizi ya kukipata
Nakushauri, ukipate mkuu. Maana wanamuziki wengi hawapendi kuwafundisha wenzao, hivyo most of the time itabidi utumie material kutoka kwenye internet na mimi ninaweza kukupatia video files za kujifunzia. Unataka kupiga muziki wa aina gani?
Asante saana mkuu... napenda kupiga muziki wa noten
Noten, unamaanisha kusoma na kupiga nota?
Asante saana mkuu... napenda kupiga muziki wa noten