wana jf habarin hope you are fine.leo nataka tujuzane na tushee idea na kukumbushana nyimbo hizi kutoka katika visiwa vya carribean.nchi za visiwa vya carribean ni kama vile...
Nimeona vipande vya hii filamu ya wale wafanyakazi wa mgodini 33 waliofukiwa kipindi kile.
Kifupi hii filamu inaonekana kali sana ila vipande viko you tube na hawajaweka full movie hivyo kwa...
Its about time Bongo Gets a taste of good Music.
We have many many rappers but very few poets.
Media mediocrity trying to destroy hip hop.
The fountains of wisdom are drying up, and all we hear is...
mwenye kujua jina la wimbo huu anisaidie au kama kuna link yake naweza kuipata ntashkuru, wimbo huo ameimba jose mtambo ft roma & darasa, kuna mstar roma anasema 'rafiki wa mlinzi wa geti, ni...
Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu dhidi ya Clouds Media..Wasanii na watu mbalimbali wamekuwa wakiwatuhumu hawa jamaa kwa unyonyaji,ukandamizaji, uonezi n.k.
Hata tumewahi kumsikia P funk kwa...
Kwanza nianze kutoa pongezi kwa msanii Alikiba kuimara wake kwenye game tangu arudi kufuta vumbi kiti chake.
Secondly, Ifahamike kwamba mimi ni mtu mwenye mawazo huru, nina haki kupongeza...
Baraza la Sanaa nchini(BASATA) limeufungia wimbo wa Ney wa mitego unaoitwa 'shika adabu yako' kutokana na matumizi ya lugha chafu ndani ya wimbo huo. Akiongea leo na kituo maarufu cha redio...
Yes. A Sista..Aliitwa Rosetta Tharpe. She came before; Little Richard, Johnny Cash,Chuck Berry, Jerry Lee Lewis, Muddy Waters, Elvis Presley and the rest... In fact, wote walimpa credit zake , na...
Msanii aliyeacha gumzo baada ya kupiga shoo Dar es salaam, karudi tena bongo na atapiga shoo Jijini Mwanza siku ya jmos, ikidhaminiwa na JEMBE NI JEMBE FM
Kupitia ukurasa wa Instagram Naytrueboy akanusha kua BASATA haijaufungia wimbo wa shika adabu yako walio ufungia ni walee walio chanwa ndani ya wimbo huo,,, ShikaAdabuYako
Karibu mkuu, itueleze nyimbo au movie ambazo zilikugusa au zinakugusa zikiambatana na matukio ambayo huwezi yasahau. Yaani unazigawanya kama ifuatavyo: Juzi=ya zamani kabisa kwa upande wako...
Niona bora ku-share hizi hot tunes, maana hii mix ni balaa, humu ndani kuna Jah Cure, Zamunda, Chevaughn, JahMelia, Wayne Wonder, Lutah Fyah na wengineo karibu uburudike.
Mimi nilikuwa ni mmoja wa watu waliokubali ushawishi mkubwa wa Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a. Sugu juu ya unyonyaji na negatives nyingine nyingi zinazofanywa na Redio hii dhidi ya wasanii.
Tangu...
so far wasanii wengi sana wa hapa tz wanaimba songs zisizo na maana, na si hilo tu bali hata majisifu yasiyo na maana, FA kato wimbo wa Ameen na Ameen - Mwana FA ft Dully Sykes & AY | Muziki.net ...
Habari wanajamvi,natamani tuinue na kukuza mziki wetu.
Naomba tulitumie jukwaa hili kuwa impress wasanii wetu.
Hapa tutafanya nini na nini?
1.Tutajadili kila wimbo mpya utakaokuwa ukitolewa na...