vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,616
Habari wakuu,
Aisee leo nilikuwa nazurura zurura youtube nikajikuta napitia video moja moja ya hawa jamaa wanaojiita Navy Kenzo....Dah these guys are so under rated...The guys are not just good, they are awesome!
Wana hits kali sana hawa jamaa.. Nahreel ni mtu mmoja mbaya sana....Yani anatisha mbayaa...
Lakini mbona naona kama hawapati promo ya kutosha...Yani siwasikii wakizungumziwa mitaani...Hivi tatizo ni nini hasa..Maana kwa sasa hit songs almost zote ni mkono wa nahreel ispokuwa chache....Goma kama zigo la AY almost kila kitu kafanya Nahreel...
Madude kama Game na Kamatia chini, video zake ni level nyingine asee...Lakini views youtube hazijafika 1m....
Au ni huu ushabiki maandazi wa kibongo ndo unachangia?...Yani kisa wao hawako katika ile beef ya wale wawili? Au mnatutenga sie wa Arusha?

The Industry for life