mzushi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 3,094
- 4,251
Nimejaribu kufuatilia interview za utambulisho wa wasanii wa walio chini ya Babu tale na mkubwa Fela nimegundua hawa jamaa wanyonyaji sana na wanaishi na wasanii chipukizi kwa kuwatia hofu ili waone bila wao hakuna future ya mziki wao.nimeshangaa kuona Babu Tale akihojiwa na EFM na kusema mpaka leo Diamond anamwamkia .sijajua connection ya kumwamkia na mafanikio ya Diamond.kweli hawa watu wawili ni adui wakubwa sana wa mziki wa vijana wa kitanzania .sasa nimeelewa kwa nini Kiroboto a.k.a Juma nature aliamua kuaachana na hawa kupe.