Mr Mayunga
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 313
- 40
Hii tamthilia ni nzuri aisee, hivi Kwa nini Filipino wanajua sana kutengeneza tamthilia, Wanawaigizaji wazuri,story nzuri,color usisema,pamoja NA mtiririko wa visa NA matukio.Wabongo tungekuwa hivyo tungekuwa mbali,alafu story zao zinakua zaidi katika mpenzi lakini namna wanavyoyaweka sasa,Safi sana.