mnyaga1
Senior Member
- Sep 24, 2014
- 184
- 101
Wadau mnaiongeleaje issue ya msanii kudis wimbo au mistari ya mwenzake ili yeye atoke???....
Mfano chege ana wimbo unaoitwa mwanayumba... akimaanisha anamtafuta mwanayumba.... lakini kuna msanii anaitwa Chibau mtoto wa pwani... kuna wimbo wake kaimba (mwambie atafute pesa, sio mwanayumba. Mwanayumba bila mavumba siku hz hawatoi unyumba).. mnaizungumziaje hii issue????