Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,768
- 7,267
Gwiji wa muziki wa Reggae Robert Nesta Marley ' Bob Marley ' anakumbukwa kwa vibao vyake kemkem hasa vya harakati za ukombozi wa mtu mweusi.
Alifariki mwaka 1981 lakini ni kama amefariki jana au juzi, kutokana na vibao vyake vingi kuendelea kutamba, wana reggae wenzangu nyimbo ipi ni kali na inakukuna zaidi toka kwa Bob Marley? Mimi naielewa sana ' No Woman, No Cry ' Bob aliimba kwa hisia sana.