Kamata chini kamatia chini....

radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
20,438
32,248
Kiukweli kwa sasa ni bonge la video sioni wakumbana nao hawa jamaa waendelee kuwa wabunifu beat nzuri na kali kifupi wamejitahidi sna madansa nao wako vizur sna haichoshi kuingalia ni video bora kwa tz bana.....
 
Mkuu ikoje maana nimepita baa moja wakati wa pasaka nikakuta hicho kibao ...........kamata chini ooohh kamatia chini......duh
 
Yule mdada aliyebinuka na kuachia ustawi wa jamii tuuone ndiye alinikera kwa hiyo video
 
Mkuu ikoje maana nimepita baa moja wakati wa pasaka nikakuta hicho kibao ...........kamata chini ooohh kamatia chini......duh
Ni balaa hii ngoma jamaa kajipendelea beat na mtoto wa kichaga kwenye hiyo ngoma ndo balaa
 
Yaani yule dada wa coras ndio kaniacha hoi yaani kuanzia kagauni adi yy mwenyewe
 
mimi nikiwa nasikiliza huo wimbo natengeneza madansa wangu akilini nawachezesha akilini.. bwana hawajatendea haki bwana
Mimi video yangu ni wadada wazuri wenye shepu na nyuma Mungu kawapa, wanakamata chini yaani mikono sakafuni kalio juu. Full kujiachia! Sehemu nyingine ktk video yangu hao wadada wamevaa silk za kubana na kuna sprinklers zimefunguliwa wadada wanacheza dirty huku wamelowana!
 
nipe link nikaione mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom