Maproduza na Studio hizi zipo mitaa gani hapa jijini??

kanali mstaafu

JF-Expert Member
May 17, 2015
4,318
4,098
1.bongo record-pfunk
2.mj-marco chalk
3.ban record-Sheddy clever
4.kili record-Rash don
5.Tongwe record-J raider
6.Free nation-T touch
7.Tuddy Thomas
8.Wasafi record
9.Kwanza record
10.The industry-Nahreel
11.Mazuu record
12.Cheiders record
13.Man water
14.m lab (Texas,Palla,Duke)
15.Sharobaro record-Bob Junior
16.Classic sound-Mona gangster
17.Mwako
18.Fundi Samuel
19.Dhahabu record
20.Fishcrab-Ramaa
 
Fundi samweli kuna studio yake ndogo ilikua kibaha... saiv haipo... ilikua inaitwa Usanii production
 
Kili records ipo kinondoni studio mtaa wa livingstone
Classic sound ipo kinondoni manyanya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom