Huyu naye alikosea wapi?

Hansy wa East

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
447
231
Wadau kuna huyu kijana anajiita BEKA IBROZAMA namkumbuka alikua THT na akina Barnaba na Amini na alihit sana na wimbo wa Natumaini baadae akatoa nyingine zikafanya vzr piaa ila ghafla ckumckia tena leo pita pita youtube channel yake nimekuta nyimbo zake nying tena kali na video nzuri kabisa tatzo jamaa kwa media hizo nyimbo hazipigwi kabisaa ssa nauliza kwa anejua jamaa alikosea wapi au alikataa kulamba miguu ya wenye mziki wao nn maana dah huu mziki hapa Tz unaweza kua na kipaji cha kipekee ila ukaishia kuimba kwenye vipaimara
 
Back
Top Bottom