jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,643
Si ajabu miaka ya nyuma tulikua tunapiga hatua katika bongo movie kuliko sasa !! Eb wangapi wameshazitema hizi movie za hapa kwetu na kuanza Kuangalia za nje?? Na kwann sasa?? Je zamani movie za nje zilikua hazipo ??
Sasa hivi kumekua na Movie za kidini!! Movie mwanzo mwisho zinaelezea dini flan nani aangalie movie za ivo!! Kama ndo hivo kwa nini wasiziuze kwenye nyumba zao za ibada!! Yaan wadhamini wa movie hizo wameongezeka na kuongeza ushawishi katika kuact mamovie ya ivo!! Kama halitafanyiwa kazi
"Kilio cha bongo movie kila siku kitakua afadhali ya Jana"
Natumaini waangaliaji wa bongo movie mnaelewa ni dini gani imejipeleka kwenda kujinadi kwenye movie HADI WANAHARIBU TASNIA"
Ongea ulichokiona