mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,162
- 3,086
Nimeangalia vizuri hii video, kikubwa nilichokiona ni ushawishi wa daimond unawafanya wasanii wengi sana wa nje kujaribu kuimba kwa kiswahili.
Mnatumiwa na Yule alotajwa Na Sallam kumbania Diamond Channel O enzi hizo! Sina tusi Kwa ajili yenu..video yakawaida sana, hata audio yenyewe yakawaida tu
video mbaya kweli,au kwa vile niliiangalia baada ya kutoka kuangalia concert ya MICHAEL JACKSON in MUNICH!
Ovyo kabisaaaa
Imekua kawaida saaaana
Mafikizolo wakipiga pekee yao ni wazuri sana