Throwback sunday: Unakumbuka nini ukisikia wimbo huu?

Throwback sunday: Unakumbuka nini ukisikia wimbo huu?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,493
Reaction score
12,461
Miaka hiyo huu ya 90 wimbo "ngapulila" unankikumbusha mbali sana kuna my cousin braza from temeke mwisho alistorowei kwenda kwa madiba daah ilikua msala sana,alifanikiwa kufika akakaa km miaka 5 hivi akapata kazi ya ubaharia huko huko sauzi,sasa ilikua ikigongwa hii ngoma kupitia RTD nilikua nauskiliza kwa makini sana.halafu na imejini how hard kuzamia meli kwenda usiko kujua...ila kupitia yeye tumevaa sana jinzi za lee na Ck zimeivaaa!! R.I.P kaka mkubwa.

hii mistari ndo ina nikosha sana.....

"...maisha ya kuzamia melini yana hatari kubwa eeh....kutoswa baharini na kupoteza maisha yako eeh.....ngapulila achana na mawazo hayo....ngapulila una hatari eeh.....fanya kazi kwa bidii utapata kaka..... wengine walijaribu kuteka meli nyara kwa silaha za bandia......." (kuna mstari nimeusahau sijui unasemaje halafu wanamalizia 'kukamatwa na madaya ya kulevya'

naamini wengi wenu mlikua bado hamjazaliwa
 
Back
Top Bottom