EATV imesema wasanii wa bongo fleva na bongo movie wanaotaka kupata nomination katika tuzo zao sharti lilopo ni kuwa msanii husika awapelekee kazi yke EATV na andike category anayotaka na sababu...
25th AUGUST 2016
AJE remix Audio na Video Redone ALI KIBA ft M.I ABAGA itakuwa inaharibu hewa..
Kuwen teyar..
Kamwambien ALI KIBA asirelease hii ngoma sabab sio vizuri kuwakosesha amani wale WCB
Kuna vipindi vya huyu Dada in short huwa sisikilizi ila hapa uswahilini kuna mama ana redio yake anafungulia. Ananikera kumwambia nashindwa maana mada anazozungumzia ni zaidi ya pumba, ni umbea...
Hii ngoma itakuwepo kwenye albam yake ya nne hapo Oct 28 itakapotoka.
Inaitwa- Nail Pon Cross
[Verse 1]
World must understand
Yo a man is just a man
Don't you judge him for his ways and flaws
No...
Kuna msemo mmoja wa kizungu usemao, Great
minds think alike, ukiwa na maana ya ‘Akili
kubwa hufikiri sawa sawa.’
Hii hutokea mara nyingi sana katika sanaa bila
ya wasanii husika kulitambua hilo...
Fiesta inawaunganisha wasanii mbalimbali kwa mikoa mbalimbali.Japo redio inawapa promotion za kutosha hapa tz ila tatizo najiuliza wasanii wenyewe hawawezi kuwa na umoja wao wakaendasha matamasha...
Wote tunajua ya kwamba kila july ya kila mwaka huwa kunakuwa na mashindano ya kumpata msanii bora wa mwaka kwa kila category ambayo husimamiwa na kinywaji cha bia ya kilimanjaro,sasa mwaka huu...
Wana JF.
Watangazaji 8 wa kituo kimoja cha Tv nchini Misri wamefukuzwa kazi kwa kuwa wanene.
Wafanyakazi hao wamepewa muda wa mwenzi mmoja kupunguza uzito wa mwili.
Nimesikiliza na kuangalia huu wimbo wa Kara Jeremiah ft Miriam chwira Binafsi nimeukubali wimbo umetulia unaitwa WANANDOTO, nimejaribu kuapload video yake ila nimeshindwa..... Upo you tube
Wakuu shukran sana kwa wadau walio toa support kwa uzi wangu uliopita uliowataka kuweka majina ya ngoma za bongo fleva za kitambo kuanzia 2010 kurud nyuma......!!
Ila leo nimekuja na idea...
LIVE CLOUDS TV-FURSA.
Kweli nchi nimeamini sasa DODOMA kuwa DAR ES SALAAM muda siyo mrefu..........................................
Watanzania waanza kuchangamkia fursa zilizoko Dodoma kaimu...
SHIDA ingekuwa Sumu, basi wote TUNGEKUFA/ wachache wana MIOYO migumu, WENGI kuishi Wanajuta/ PENDA na MAUA yake Kama Ukipenda BOGA/ Usimpe NYAMA ngumu AING'ATE, kumpima KIBOGOYO uwoga/ MORE BLOOD...
Makundi mawili ambayo yalifuzu kushiriki hatua ya robo fainali katika shindano la Dance100% 2016 yameondolewa kushiriki katika shindano hilo kutokana na utovu wa nidhamu na kukiuka kanuni za...
Wakuu, Habari zenu.
Nipo hapa Tanga, dhumuni ni utalii wa ndani na kupunguza stress za jiji La makonda..
Sina wanyeji, kwa mdau aliye free regardless of age, sex, and political affiliation Ani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.