Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

"Simba ni mlinzi mzuri zaidi kuliko mbwa, ndo maana yanga tulimpa kazi atulindie nafasi yetu ya kwanza ya ligi kuu kipindi tupo safari ya kimataifa. Tunakushukuru Mtani kwa msaada wako" UTANI...
3 Reactions
0 Replies
617 Views
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwanza nianze kwa kukiri kuwa sina maslahi na upande wowote ule wa hii tasnia ya muziki,bali nikiwa kama mwananchi wa kawaida nilielipa 10,000 siku ya jana kushuhudia Fiesta ya Kahama.Burudani...
6 Reactions
36 Replies
6K Views
Jana nimecheki movie moja la jamaa linaitwa THE EQUALIZER yani unyambisi aloonesha humo hadi mtu unasisimka yani, jamaa kacheza vizur sana yani mtu unawekewa stopwatch na kuesabiwa muda wa...
1 Reactions
3 Replies
923 Views
kama title ilivo huyu ni kijana toka Mbeya ana hitaji MTU au level itakayo simamia kaz zake kwa manufaa ya mdhamini na yeye pia had I sasa ana nyimbo 6 na vidio 1 lakin haina viwango sababu ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Weekend yangu inaisha kwa kutazama hizi ngoma zilizobamba miaka ile..................... karibu tuenjoy.
0 Reactions
0 Replies
640 Views
Ndugu wadau wa jf wimbo wa "the freedom is coming tommorow" nimetokea kuupenda kwa mara ya kwanza nilipobahatika kuingalia filam ya sarafina. Mwanadada sarafina namkumba sana na hata kifochake...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ebwana wanaJF Mzuka! Napenda kuwapa pole familia ya vijana wetu polisi pamoja na jeshi la polisi pamoja na watanzania wote kwa jumla kwa kuwapoteza vijana wetu na ndugu zetu mbagala jana usiku...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Alichokifanya Ruby mimi kwangu ni kama ushujaa. Tatizo ambalo watu wengi wana mlaumu ni kwamba umri alio nao ndani ya sanaa hakustahili kufanya hivyo kwani ni mapema. Mimi binafsi naona ni mda...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwenye nayo naomba anitumie au aweke link. Diamond kwa sasa anaimba vizuri hizi jingo zake kuliko hata hitsong. Kuna ile ya coca ilikuwa nzuri pia na hii ya voda ni nzuri naomba uniweke link...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Umoja huu wa waandishi unazinduliwa rasmi leo, Agosti 25, 2016 katika viwanja vya Nafasi Art Space, Dar es Salaam kuanzia Saa 7 Mchana. Mgeni Rasmi atakuwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
naomba anayejua jina la wimbo huu tafadhali
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naombeni msaada wa nyimbo nzuri za mapenzi zinazoweza kuniliwaza mimi nikiwa pamoja na shemeji/wifi yenu.[emoji445] [emoji444] [emoji447]
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Wakuu nimefuatilia vipindi vya clouds TV na EATV lakini naona EATV wako vizuri sana katika vipindi vyao. Clouds tv utoto ni mwingi sana Kama juzi tu taarifa yao ya habari walisoma watoto..kwa...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Kuna msemo mmoja wa kizungu usemao, Great minds think alike, ukiwa na maana ya ‘Akili kubwa hufikiri sawa sawa.’ Hii hutokea mara nyingi sana katika sanaa bila ya wasanii husika kulitambua hilo...
3 Reactions
9 Replies
5K Views
Hivi Magufuli na CCM hiyo kauli mbiu yao waliitoa kwenye huu wimbo..?
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa anayuzijua Series Kali!!! Msaada tafadhali
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nashindwa kuelewa kwani kila niamkapo, ninapotembea, ninapokuwa nimepumzika tu na hata kabla sijalala usiku lazima niusikilize huu Wimbo wa Perfect Combo wa Joh Makini akimshirikisha Mwanadada wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Season 2 imepoa sana. Haina mvuto haina story yenye mashiko. Yaani inaruka ruka tu imelala haina pumzi,imejichokea,inapumua kwa shida sana hii series.sijui kama itaendelea tena... Ikiwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kawaida ya wanamuziki wa bongo fleva kwenda Afrika kusini kwa ajili ya kutengeneza video za nyimbo zao ikiwa ni mara chache sana kutengeneza hapa nyumbani...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom