radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,438
- 32,248
Sijui ni aina gani ya muziki huu? station kubwa kufululiza kupiga nyimbo hizi badala ya kupiga nyimbo za maana mmeweka vinyimbo vya hovyo anachoimba hakieleweki tunasikia vifilimbi tu hovyo kabisa. Dj gani kakaa huyo hivyo vi miziki vina mahali pake.