Huo Mchura Pipi jamani mie hoi

Huo Mchura Pipi jamani mie hoi

Francis Mawere

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2015
Posts
969
Reaction score
844
Mwana dada Pipi kaachia video yake inayokwenda kwa jina la Hafai ambapo ndani ya wimbo huo yupo Nick Wa 2. Ingawaje kwenye video Nick Hajaonekana ila Kipekee niseme kwamba hii Video ni MBOVU/MBAYA, production ya Hii video imemwangusha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom