Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 969
- 844
paaaaaaaaaaap, JfUbuyu.com founder a.k.a team Mafisi huyu hapa.
Ni katika tuzo kubwa barani Africa zijulikanazo kama All Africa Music Award(AFRMA) 2016 ambapo zimefanikiwa kuwapambanisha Simba wa Tandale (Diamond) na Mfalme wa Kigoma mzee wa Nakshi Nakshi(Alikiba). Sasa bhana hawa jamaa watawania tuzo ya Msanii Bora wa Kiume Afrika Mashariki yaani Best East African male Artist. Ni wazi kwamba Tuzo hii ishakuja nyumbani maana hawa jamaa wote wawili ni Machampion hapa Africa Mashariki.
Sema tuu mmoja wao teyari ni mzoefu wa hizi tuzo 🙂D😀😀 wabongo bhana!)
My take:
Ule ujinga wakujifanya mna vitimu vyenu huko sio huu, huu ni muda wakuwasuport vijana Simba wa Tandale(Diamond) na Mfalme wa Kigoma(Alikiba). zaidi ya yote tusiishie hapo tuu maana Simba yeye nyota yake imen'gaa kidoooooooooogo akachaguliwa Category Tano so lets support him.