Jinsi lugha ya Kiswahili inavyoendelea kutambulika kimataifa pia changamoto kubwa inaanza kuikabili tasnia ya Bongo Movie kuweza kuandaa sinema zilizo na story nzuri na muonekano bora kimataifa. Mfano picha hii ya Kihindi iliyotiwa sauti ya lugha ya Kiswahili
BODYGUARD SWAHILI
Source: African Voices Dubbing Company
BODYGUARD SWAHILI
Source: African Voices Dubbing Company