Ushemeji upo, Haliwi mtu hapa.

Ushemeji upo, Haliwi mtu hapa.

Complex

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
4,121
Reaction score
4,788
Hayaaa, wale mliokuwa mnachochea na kuabudu kaulimbiu ya hainaga ushemeji nyie mnakula tuu. Huu ni ujumbe kwenu,

Hahahhaaaa, Hii miziki ni sooo funny

[HASHTAG]#Singeli[/HASHTAG]

Hahaha
Ila jamaa kaya panga mashairi vzuri sana nme mkubali
 
Namkubali sana Dogo S. Kide.

Kipaji cha utunzi wa mashairi anacho [licha ya kwamba hii singeli mimi bado sijaikubali, nadhani ni passing fad tu].

Kiranga come see your boy.
 
Namkubali sana Dogo S. Kide.

Kipaji cha utunzi wa mashairi anacho [licha ya kwamba hii singeli mimi bado sijaikubali, nadhani ni passing fad tu].

Kiranga come see your boy.

Huuyu dogo ana mistari fantastic. Alichokiimba humo ndo inatakiwa singeli iimbwe kinamna hiyo. Wakiendelea hivi watapata fans wengi wa huu mziki
 
Namkubali sana Dogo S. Kide.

Kipaji cha utunzi wa mashairi anacho [licha ya kwamba hii singeli mimi bado sijaikubali, nadhani ni passing fad tu].

Kiranga come see your boy.
Dogo anairudisha jamii kwenye maadili.

Ukiona Dogo ndiye anairudisha jamii kwenye madili kama Shaaban Robert, ujue jamii imeoza.

Huu wimbo nafikiri nishausikia. Bahati mbaya nipo Amsterdam wiki hii na hiyo video haionekani YouTube Netherlands for some copyright reasons.
 
Hayaaa, wale mliokuwa mnachochea na kuabudu kaulimbiu ya hainaga ushemeji nyie mnakula tuu. Huu ni ujumbe kwenu,

Hahahhaaaa, Hii miziki ni sooo funny

[HASHTAG]#Singeli[/HASHTAG]

Hahaha! Nlikua sijaionaga hii,nimeipenda
 
Back
Top Bottom