Movie ya The Great Dictator!

Movie ya The Great Dictator!

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,827
Naipenda sana hii movie aliye nayo naomba msaada! Hata kwa muhtasari tu,maana naisikia tu....
 
Inahusu mwenyekiti wa chama cha chadema aliyekuwa akifukuza uanachama na uongozi kwa wale wote waliokuwa na mawazo tofauti na waliokwenda kinyume na matakwa ya wenye chama hasa kutoka kanda ya kaskazini Kina Mzee MTEI. Basi movie hiyo iliishia mwaka 2015 walipoamua kumweka steering wa movie ndugu lowasa waliyemwita fisadi papa kushindwa kumtakasa kwa sabuni na madodoki wakashindwaaaaaa. Picha inaendelea episode 2 kwa matamko feki. Hiyo ndio movie Mkuu nadhani ukitaka kuipakua visit www.shikaukuta.cdm.com
 
Sio lazima ujipake kinyesi ili watu wajue kwamba una mtindio wa ubongo! Seek psychiatric help! Bs
 
Kumbe ulitaka movie gani k***@@+$$a wewe. Movies zenu ma lesbians kama wewe si ndio hizo au?
 
Hahahaaaaa..daaah mkuu nna imani umeiharibu vibaya sabato ya jamaa na anajuta kukutana na komenti zako walahii
 
Wala! Ukitingishwa na coments za taahira tutakua tumefanana!
 
Kumbe ulitaka movie gani k***@@+$$a wewe. Movies zenu ma lesbians kama wewe si ndio hizo au?

Umethibitisha kauli yangu scatter brains! Kauli zako zinaakisi haiba,uwezo wako wa kufikiri na makuzi mabovu.
 
Naipenda sana hii movie aliye nayo naomba msaada! Hata kwa muhtasari tu,maana naisikia tu....
Unaipenda movie ambayo hujawahi kuiona!?? Unaisikia tuh!!! Balaa[emoji19] [emoji19] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimeshaipata nashukuru wadau,ila nimecheka balaa!
 
Mbona pale juu kuna herufi sizielewi....au uzi umenoga!
 
Back
Top Bottom