3D Movies

3D Movies

mamyake

Member
Joined
Jan 2, 2014
Posts
88
Reaction score
60
Habarini wakuu, eti kwa Dar es Salaam ni duka gani naweza kupata DVDs za 3D movies?
 
Kwanini usi download mwenyewe tu kuliko kwenda kutafuta zilizo chakachuliwa
Dvd player niliyonayo haina usb port. So nikidownload nikasave kwenye external drive bado sitaweza kuangalia kwenye tv kama ninavyotaka. Au kuna namna nyingine.. ushauri please
 
Dvd player niliyonayo haina usb port. So nikidownload nikasave kwenye external drive bado sitaweza kuangalia kwenye tv kama ninavyotaka. Au kuna namna nyingine.. ushauri please
Kama unatumia PC unaweza ukadownload movie unayotaka harafu ukanunu CD empty ukaban hiyo movie ukaiplay kwenye hiyo DVD yako
 
Back
Top Bottom