Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Double Impact. Hii imechezwa 1991, Staring ni Vandamme na Alex. Blood Moon. Hii imechezwa 1997, Staring ni Gray Daniels. Red scorpion Hii imechezwa 1988, Staring ni Dolph Lundgren. Ongeza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Shubey K Platinum Musical | Facebook
0 Reactions
0 Replies
493 Views
Download Shubey K Platinums music mp3 | Mdundo.com
0 Reactions
0 Replies
569 Views
Sasa wakuu, huyu mtunzi E. J. Shigongo nina hamu ya hadithi zake, ni wapi naweza kupata PDF au Docs zake?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Shubey K Platinums - Maumivu MP3 download | Mdundo.com
0 Reactions
4 Replies
947 Views
Shubey K Platinums - Ukimwi MP3 download | Mdundo.com
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Zamani sana kabla teknolojia haijasonga kama ilivyo leo, kumtumia mtu salamu ilikuwa kazi kweli kweli. Aidha uandike barua (ambayo itachukua wiki nzima kumfikia mlengwa), au utume salamu kwa njia...
0 Reactions
73 Replies
7K Views
Mwenye kufaham bei ya display ya Huawei p8 au mwenye nacho tuwasiliane tufanye biashara
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Nikweli Tunahitaji kufanya Changes, Join #Movement_Okoa_Jahazi Kutuunga Mkono, Kuna makosa mengi Yamesha Fanyika, Huu ndo wakati wa mabadiliko, lazma tukubariene na hilo wadau wote wa bongomovies...
0 Reactions
0 Replies
595 Views
Watanzania Tunawaomba Mtusaidie Kutuunga mkono Katika #movement_Okoa_Jahazi, ili Tusizame, maana SKU mpaka SKU tunazidi kushuka tu!! kampuni itaanza mwakani,
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wewe ni msanii mkubwa sana, na una heshima kubwa sana hapa Nchini. Hivi ulishindwa kumpata Mond umshirikishe? mpaka uchukue mtu anae mcopy Mond? Kuanzia Sauti mavazi mpaka uchezaji ni Mond mtupu...
0 Reactions
4 Replies
806 Views
Jamaa mmoja alialikwa ktk harusi. Akafika mlango Wa 1 umeandikwa kulia ni ndugu Wa maharusi, kushoto ni wageni waalikwa, akaenda kushoto maana yy alialikwa. Akakuta mlango wa2 umeandikwa kulia...
1 Reactions
0 Replies
547 Views
Ukijaribu kuhusisha Mgogoro uliopo sasa Kati ya Msanii Ruby na Clouds Media... Na Ukiusikiliza wimbo wake mpya unaoitwa Wale Wale n dhahiri utasema amewaponda Clouds Media. Nimeusikiliza vzr...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Staa wa Nigeria Chinedu Ikedieze (Aki) aisifia ‘Salome’ ya Diamond ‘I am a big fan’ MUUNGWANA BLOG / 22 hours ago Salome ya Diamond Platnumz inaelekea kumshangaza staa huyo kwa mafanikio...
0 Reactions
2 Replies
892 Views
Namba hazidanganyi na wala hazichawiwi.
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Mimi ni mpenzi mkubwa mno wa muziki wowote ule duniani yaani naweza kukesha hata mpaka asubuhi endapo nikikutana na channel za muzik hasa zile matata duniani sasa.nakosa.uamuz.sahihi kuhusu...
0 Reactions
2 Replies
815 Views
Wadau naskia series kali ya Prison brake inatarajia au imeshaanza kuonyeshwa je mwenye ujuzi wa kujua ni channel gani imeanza kurusha hii series kali kuwahi kutokea nchini marekani
2 Reactions
2 Replies
640 Views
Naulizia Nite Club nzuri Dar zinazotoa huduma nzuri ya mziki. Nilizoea kwenda Bilicanas na Savana ila nimepewa taarifa hizi club zimefungwa.
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Samaha wazee wenzangu hususani wapenzi wa Muziki, kuna wimbo nautafuta, uliimbwa na Sikende, wimbo unaanza kwa neno: Ndugu na jamaa wameniweka kando, kuwa hunifai eeh ehee x2 Nilikuweka moyoni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom