Miaka 19 ya Kifo cha Tupac, Ipi ni Nyimbo Bora Zaidi Unaikubali Toka Kwake?

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,783
66,962
Dunia leo inaadhimisha miaka 19 toka gwiji wa HipHop Tupac Shakur alipopigwa risasi na Kufariki Dunia September 13 mwaka 1996.

Mengi yamezungumzwa kuhusiana na kifo chake, na kuna wengine wanaamini nyota huyo hajafa ila amejificha sehemu.

Tupac enzi za uhai wake alitoa nyimbo nyingi kali ambazo zilisumbua sana, ipi ni nyimbo bora zaidi kuwahi kuisikia toka kwa Legend huyu hasa kipindi hiki tunapotimiza miaka 19 ya kifo chake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom