Chombo cha habari maarufu barani Africa na kinachodhamini tuzo za MTV mama African music awards kimepost taarifa za wasanii watakao perform siku ya event 22/10/2016 akiwemo,Alikiba kutoka Africa Mashariki,Jamani wameamua kuonja asali watachonga mzinga.