Hawa ni zaidi ya Diamond na Ali Kiba

Hawa ni zaidi ya Diamond na Ali Kiba

Keyboard_Warrior

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
6,350
Reaction score
11,152
10932191_1545721332379090_380810471_n.jpg

Ben Pol

barnaba.jpg

Barnaba Boy

Their latest songs:
Joh Venture (Official Site): Ben Pol - MOYO MASHINE | Mp3 Download [New Song]

JOH MUSICTZ: Download | Barnaba - Lover Boy | New [Song Mp3]

Kama Ali Kiba na Diamond wanaimba muziki mzuri...
Basi hawa wanafanya muziki MUZURI..!!!
 
Diamond ni mwanamuziki wa kuburudisha na kufanya biashara hawa waliobaki ni wanamuziki wa kuburudisha sana na kisha biashara huweza kuja. (Maoni yangu)
 
kama Benpol na Barnaba wanafanya mziki mzuri kuliko alikiba na diamond....kwa nn fanbase ya alikiba na diamond ni kubwa kuzidi ya banpol na barnaba
Nimekua NIKIJIULIZA swali hilo mara kwa mara lakini nimekosa MAJIBU...
Pia hilo ni swali ambalo limenifanya kuanzisha huu UZI...
Labda kama wewe unaweza kunipa jibu Mkuu...
Ni kwanini Diamond na Ali Kiba wana fan base kubwa kushinda MAFUNDI wa muziki hawa wawili..!?
 
Usanii hauishii katika kuimba au kutunga nyimbo nzuri.....

Ili ufanikiwe zaidi unahitaji uwe mjanja mjanja, uwe na nyota,uwe na fitna Fulani fulan za muzik namengineyo....
 
Nimekua NIKIJIULIZA swali hilo mara kwa mara lakini nimekosa MAJIBU...
Pia hilo ni swali ambalo limenifanya kuanzisha huu UZI...
Labda kama wewe unaweza kunipa jibu Mkuu...
Ni kwanini Diamond na Ali Kiba wana fan base kubwa kushinda MAFUNDI wa muziki hawa wawili..!?
unaweza hisi mwanamuziki unayempenda na mwanamuziki bora kuliko wote hii inatokana taste yako ya muziki...na hili haliwezi kufanya mwanamuziki usiyependa muziki wake asiwe bora kwenye eneo lake..!!! ukubwa wa Fanbase ya mwanamuziki hutegemea jinsi gani mwanamuziki ameweza kuwavutia watu wengi kuwa mashabiki wake hili linamaanisha huyo mwanamuziki ni bora kuliko wanamuziki wengine machoni kwa mashabiki wake...!!!! Muziki ni uwanja mpana kila mtu ana taste yake!! usishangae leo ukakutana na mtu akakuambia Manfongo ndio mwanamuziki bora kuliko wanamuziki wote tanzania..ila mwisho wa siku its all about numbers...hiyo ndio dunia ya muziki
 
Nimekua NIKIJIULIZA swali hilo mara kwa mara lakini nimekosa MAJIBU...
Pia hilo ni swali ambalo limenifanya kuanzisha huu UZI...
Labda kama wewe unaweza kunipa jibu Mkuu...
Ni kwanini Diamond na Ali Kiba wana fan base kubwa kushinda MAFUNDI wa muziki hawa wawili..!?
Huo "ufundi" wao umeupima kwa kigezo kipi kama sio hiko cha kuwa na fan base kubwa ni kimojawapo kilichotakiwa ukidhingatie ........Asikudanganye mtu, mwanamuziki mzuri ni yule anayeingiza pesa nyingi kwenye muziki wake,zingine ni mbwembwe ambazo hazina faida yoyote.
 
Nimekua NIKIJIULIZA swali hilo mara kwa mara lakini nimekosa MAJIBU...
Pia hilo ni swali ambalo limenifanya kuanzisha huu UZI...
Labda kama wewe unaweza kunipa jibu Mkuu...
Ni kwanini Diamond na Ali Kiba wana fan base kubwa kushinda MAFUNDI wa muziki hawa wawili..!?
Mkuu! Ninachoweza kukujibu ni kuwa hawajataka kuwa Diamond! Diamond ndo kamkurupusha mpaka Ally Kiba! Kipindi cha nyuma kulikua na Debates kuhusu Mziki wa Tanzania kutopenya kimataifa, wapo waliosema ni sababu ya lugha tunayotumia haijulikani na wengi international, ila Diamond Leo kabadilisha hiyo dhana! Always husema Leo Ally Kiba alitakiwa kuwa mbali kuliko Diamond coz zile nafasi ambazo Ally alipata Diamond hakupata wakati anahangaika kutoka! Unakumbuka ile Kolabo ya Ally na wasanii wa Africa pamoja na R Kelly? Baada ya Project ile Ally alifanya nini? Alirudi nyumbani akakaa kimya! Wakati huo Diamond SI lolote, kama Ally angetumia chansi ile kufanya nyimbo na video kali baada ya ile project na Wasanii Wakali Africa kama kina 2face Leo Ally angekua mbali zaidi ya Diamond! Ni the same kwa Wasanii kama Fid Q na Joh Makini, nje ya Bongo Joh Makini Ana jina kuliko Fid Q, but wakati Fid yupo on top na ngoma zake kali, Jo hakuwa lolote...ngoma 2 za Jo ambazo video kafanya South Africa zinafanya Jo atambulike kama Msanii Mkali wa Hip hop toka Bongo! Sasa kuona hivyo ndo Fid q nae anahangaika kupita njia hizo ila alikuwepo wapi Mwanzoni? Chidi alikua wapi? jibu Ni kuwa Wasanii wetu hawana malengo!!! Ni the same kwenye Bongo movie, the same kwenye mpira, Leo wachezaji ndo wanaona kumbe kukipiga ulaya inawezekana sababu ya Samatta, wakati Samatta alikua anaiona njia yake kabla hata hajaja Simba!!! Tatizo Ni malengo na kutambua unataka kufika wapi!
 
Back
Top Bottom