Vile vi dancers vya kike kwenye wimbo wa Inde

Vile vi dancers vya kike kwenye wimbo wa Inde

Daniel Myl

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
535
Reaction score
270
Vile vi binti kwenye wimbo wa Inde wa Dully na Harmonizer ni vi dancer vya nani?? Natamani kuviona live kwenye stage.!!
 
Sasa sisi hatujui kama ni vi dansa VA Nani ila me nakushauri fuatilia show zao utatimiza hio ndoto yako ya kuviona live. Anayejua ni vidansa vya Nani amsadie jamaa yetu
 
Back
Top Bottom